Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!
Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kwenye redio mahali, huyu ni Cassper Nyovest na wimbo unaitwa Tito Mboweni kutoka kwenye albamu yake mpya ambayo ipo njiani kudondoka. #WeGotTheMusichttps://mkito.com/song/16395