![]() |
Kutoka Jiji la Chicago Nchini Marekani Kijana wa Kiume Micah
ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye umri wa miaka 20
amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na kuwa
na umbo la kike ambalo ukimuangalia kwa haraka huwezi kuamini kama ni
Mwanaume.
Kijana
huyo ambae ni mwanamuziki ameishangaza dunia kwa kuwa na umbo la
Mwanamke ambae ana mahipsi makubwa kama mwanamke au zaidi ya mwanamke na
hadi nguo anazovaa ni za kike.
|
![]() |
Stori
kubwa ni pale wanawake wanapotamani umbo la mwanaume huyo hadi kuamua
kwenda kutafuta umbo hilo kwa madaktari, wanawake wengi katika jiji la
chicago wametokea kuvutia na umbo la mwanaume huyo ambae kiukweli ana
umbo la kike na kupelekea kuwa na hipsi ambazo hata wanawake wenyewe
huishia kuzitamani.
|
No comments:
Post a Comment