![]() |
DIR. ERICK BAKAMAZA-DODOMA |
Ukianza kuorodhesha madirector wakali toka kanda ya kati basi list yako
itakuwa haijakamilika kama hujamtaja Dr. Erick Backamaza toka Dodoma,
miongoni mwa kazi ambazo aliwai kuitoa ni video ya MAYA yake One six na
ilifanikiwa kufanya vizuri kwenye TV kubwa za bongo ikiwemo EATV
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu jamaa alikuwa chimbo akijipanga
kuachia mabomu ya hatari na sasa yupo tayari , na sasa tayari amemtangaza
msanii wake ambaye anaanza nae kazi kwenye project mpya ambaye ni BIG DADY.
kupitia ukurasa wake wa Facebook Dir Backamaza ameandika ujumbe huu kwa mafansiwake pamoja na kuambatanisha na picha.
'''''''TO MA BELOVED FUNS
Nimekuwa Kimya kwa Mda flan
Hii ni kwa sababu za Kiufundi
Hope kuanzia Tarehe 06/06/2015 Narejea Kivingne
==Tangu Naanza Sikutamani KUTOKA,Nilitamani Tu KUINGIA==''''''''''
Nimekuwa Kimya kwa Mda flan
Hii ni kwa sababu za Kiufundi
Hope kuanzia Tarehe 06/06/2015 Narejea Kivingne
==Tangu Naanza Sikutamani KUTOKA,Nilitamani Tu KUINGIA==''''''''''
![]() |
miongoni mwacha picha toka kwenye video mpya |
JAMBO JEMA TOKA KWA DIRECTOR HUYO ni
kuwa kwa sasa yupo kwenye kampuni YAKE mpya ambayo ni After Daylight
company ambayo ipo jijini Dar na tawi lake ni mkoani dodoma na kuongozwa
na backamaza
kumfahamu zaidi Director Erick Bakamaza pitia ukurusa wake wa Facebook
No comments:
Post a Comment