![]() |
KAJALA MASANJA |
![]() |
QUICK RACKER |
Soudy Brown kapiga stori na meneja wa Kajala ambaye alikua nae Kajala pamoja na Quick Rocker hata wiki iliyopita Tanga,ambaye nae kazungumza kinachoendelea katikati yao hao watu wawili.
Kikubwa alichozungumza meneja wa Kajala ni juu ya kazi mpya ya filamu ambayo inategemewa kutoka siku si nyingi ambayo inamhusisha Kajala na Quick Rocker,filamu hiyo inaitwa Mbwa Mwitu.
No comments:
Post a Comment