welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Thursday, 14 August 2014

Re-posted from the Nuru the light

             Mwanamuziki na blogger Nuru the Light kupitia ukurasa wake wa Facebook ameomba wa Tanzania kumpigia kura msanii cindy Rulz..nukuu
 
"Msanii CINDY RULZ amekuwa nominated kwenye underground music awards huko marekani so anaomba kura zako ili aweze chukua tuzo,,kwanza hongera zake maana hii ni juhudi na amepiga step kwenye mziki wake na kuitangaza Tanzania,,more fire gyaaaaaal!!!"

unaeza mpigia kura CINDY RULZ kama tangazo lilivojieleza asanteni

posted by the blogger

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...