Wachezaji wakongwe
wa Klabu ya Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa
TANAPA mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima
Kilimanjaro.
Wakongwe wa
Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha
ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege
wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima Kilimanjaro.
Wakongwe wa Real Madrid wakiwa katikati ya msitu wa Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment