welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Friday, 19 September 2014

HABARI PICHA


Nchini Tanzania uhusiano wa kikazi kati ya polisi na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena unazua maswali mazito.
Hapo jana ikatokea waandishi kadhaa kushambuliwa kwa kipigo na polisi walipofika makao makuu ya polisi kufuatilia tukio la kiongozi wa chama cha upinzani kuitwa mujibu maswali kuhusu madai ya kuchochea ghasia.

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...