Hii mpya ya Yamoto Band umeshaiona? kaonekana Rick Ross wa bongo na Kingwendu
RICK ROSS WA BONGO
Kutoka TEMEKE Dar es salaam ninayofuraha kukutanisha na vijana ambao
sauti zao ni maarufu sana kwenye Radio sasa hivi….. vijana wasiozidi
miaka 25 ambao wako chini ya Mkubwa Said Fela wakiongozwa na Aslay
ambapo hii ni single ya 4 kutoka kwenye hii Yamoto band baada ya zile za
Yamoto, birthday, nibemende na sasa ni niseme BURUDIKA......
No comments:
Post a Comment