Mwanafunzi wa
kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye
umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar jana (Septemba 4,
2014) eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za
udanganyifu.
USHAURI WA BURE: JAMANI WATOTO WA KIKE MSICHEZE NA ELIMU, MKAMATENI SANA ELIMU MSIMUACHE AENDE ZAKE, JAMANI HUWEZI KUONA FAIDA LEO ILA UTAIONA BAADAE..PENDA SHULE, JITOE, VUMILIA, KAZANA, KWANI HATA HAO MATAJIRI WENYE PESA, MAJUMBA WASIO KUWA NA ELIMU WANATAMANI KURUDI SHULE....MSICHEZE NA HASA UKIWA NA MSAADA, KUNA WATU WANATAMANI NAFASI ZENU NYIE MNAZICHEZEA... MAJUTO NI MJUKUU.
IKIKUFAA CHUKUA KWA FAIDA YAKO!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
-
UTANGULIZI. Uyoga ni aina ya nyuzi kuvu (fungus) yenye kutofautiana na mimea mingine kwa kukosa chembe chembe zinazowezesha mimea ku...
-
Kutoka Jiji la Chicago Nchini Marekani Kijana wa Kiume Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye umri wa miaka 20 amechuk...
No comments:
Post a Comment