Monday, 15 September 2014
Waliopoteza uhai katika sinagogi la T.B. Joshua wafikia 44
Sehemu ya jengo lililoanguka. (picha: blogu ya Miss Petite Nigeria)
Shirika la habari la kimataifa la CNN limechapisha habari kuwa inakadiriwa watu 44 wamepoteza uhai baada ya nyumba ya kufikia wageni iliyomo ndani ya Kanisa kubwa la mhubiri maarufu, T.B. Joshua lijulikanalo kwa kimombo, "The Synagogue, Church Of All Nations" (Sinagogi, Kanisa la Mataifa Yote) lililopo Lagos nchini NIgeria, lilipoanguka mchana wa siku ya Ijumaa iliyopita.
CNN inanukuu afisa wa wakala wa uokozi, Ibrahim Farinloye, ambaye ni msemaji wa National Emergency Management Agency, kuwa alitoa taarifa hiyo jana Jumapili na kwamba watu wapatao 130 waliokolewa kutoka kwenye kifusi na huenda wapo zaidi wanaohitaji kunasuliwa.
Jengo hilo lilianguka wakati ujenzi wa kupanua na kuongeza ghorofa tatu ukiendelea.
Inaelezwa kuwa shughuli za uokozi zilichelewa kwa kuwa baadhi ya waumini waliwakatalia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
-
UTANGULIZI. Uyoga ni aina ya nyuzi kuvu (fungus) yenye kutofautiana na mimea mingine kwa kukosa chembe chembe zinazowezesha mimea ku...
-
Kutoka Jiji la Chicago Nchini Marekani Kijana wa Kiume Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye umri wa miaka 20 amechuk...
No comments:
Post a Comment