welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Monday, 1 September 2014

WEMA: SIMLISHI DIAMOND VIPORO

 Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kusema anajitahidi kila siku katika suala la mapishi ili asimlishe viporo mwandani wake, Nasibu Abdul, ‘Diamond’.
 Akipiga domo na paparazi wetu, Wema alisema kama mwanamke anajua thamani ya mwanaume siku zote hata kama ‘baby’ wake atarudi usiku, lazima aingie jikoni kupika na haweki…

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...