welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Sunday, 14 September 2014

WIMBO WA ALIKIBA MWANA NDIO UNAOONGOZA KWA KUPAKULIWA KATIKA TOVUTI YA MKITO.COM

Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com.  Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa  Julai 24 mwaka huu. Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu. Wanamuziki wengine wanaofanya vizuri  ndani ya Mkito ni Fid Q, Vanessa Mdee, Young Killer, Diamond Platnumz, Linah, Rich Mavoko, ROMA, Mkubwa na Wanawe 

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...