ENTREPRENEURISM NI NGUZO MOJA WAPO YA HIPHOP KATIKA NGUZO TISA ZILIZOTOLEWA NA KRS ONE "THA TICHA"SOKONI
HIPHOP EXHIBITION NI ONESHO LA BIDHAA LINALOWAKILISHWA NA WAJASILIAMALI
HURU KUTOKA PANDE MBALIMBALI ZA TANZANIA(WATAWALA NA UKOO(DODOMA),HOSTZ(DODOMA)GAZAGANG(ARUSHA),KINGKOR(ARUSHA),GSP(MBEYA).
LENGO
NI KUONESHA UTAMBUZI(AWARENESS) KATIKA MITAA KUWA KUPITIA NGUZO YA
UJASILIAMALI VIJANA WANAWEZA UNGANA KAMA ILIVYO KATIKA NGUZO NYINGINE
KAMA GRAPHITS, DJ, KNOWLEDGE,N.K KAULI MBIU
"YOUTH CREATE THE CHANGE IN STREET&WE ENCOURAGE YOUNG GENERATION IN TODAY&PUSH THEM IN REALITY"WE ALL HIPHOPPAS USE OUR TALENTS SELL OUR PRODUCTS...(INDEPENDENT ENTREPRENEURS)
TAREHE
31 JANUARY TUTAFANYA MABIBO HOSTEL KUANGALIA PIA NA SOKO NA KUWEKA
VIJANA AWARENESS ESPECIALY WA VYUONI NA MITAANI KWAMBA KILA KITU
KINAWEZEKANA KUWA "HURU" MIND SOUL&BODY.
"WELLCOME ALL, SUPPORT YOUTH, SUPPORT HIP HOP"
![]() |
ILIKUWA MWAKA JANA BUT NOW PREPARE FOR 2015 |




No comments:
Post a Comment