![]() |
DIAMOND AKIWA INDIA |
"Sikuzote,
Binadam tunapanga yetu lakini Mwenyez Mungu Ndio Anaye amua lipi
litimie... Nlitamani sana kuwepo Siku ya tareh 7 Jumamosi hii kwenye
Uzinduzi wa Video 4 toka kwa kaka zangu @chegechigunda @madeeali na
@mhtemba pale Escape One, lakini kutokana na tatizo lilio nje ya uwezo
wangu imenibidi niwe nje ya Tanzania...Tafadhali sana ukiwa kama Shabiki
yangu wa dhati, #TeamWasafi, ama Mwenye mapenzi
ya dhati kwa Mziki wetu wa Bongo flavour.... tafadhali naomba kwa
hisani yenu mkaniwakilishe siku hiyo kuwasupport Wakubwa zetu... na
ukifika tu piga picha na utapoipost HashTag Neno #RPDiamond
yaani (Representing Diamond) nami Ntaiona Picha Yako ukiwa na marafiki
zako na Ntairepost Hapa Pamoja na kukutag Jina Lako... Nawaaminia
07/02/2015 ESCAPE ONE!!!"
SOMA ZAIDI HAPA
No comments:
Post a Comment