welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Tuesday, 28 April 2015

BRAND NEW HISIA - KEEP YOU WARM

Mshindani aliyewakilisha Tanzania vyema sana katika mashindano ya Tusker Project Fame HISIA anakuja na wimbo wake mpya uitwao KEEP YOU WARM. Hisia ambaye kazi nyingi amezifanya katika mfumo wa Soul amehama katika wimbo huu na kuingia katika reggae. Wimbo huu umerekodiwa nchini Kenya chini ya producer MG.

Pakua wimbo hapa

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...