Balozi wa Vatican nchini Tanzania ametangaza kuwa baba mt. Francis amemteua padre Edward Mapunda kuwa askofu wa jimbo la Singida.

Mpaka wakati wa uteuzi wake alikuwa mhasibu wa jimbo la Singida.
Hongera wana Singida na kanisa la Tanzania.