welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Saturday, 2 May 2015

JK:Wasio na ajira waelekeze nguvu sekta binafsi

Wasio na ajira waelekeze nguvu sekta binafsi, Ajivunia kipindi chake alitoa ajira milioni mbili.

Rais Jakaya Kikwete, amesema serikali haina nafasi za ajira kwa sasa na kuwataka watu wasio na ajira kuelekeza nguvu zao katika sekta binafsi. Akihutubia sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, iliyofanyika kitaifa jijini Mwanza jana, Rais Kikwete alisema kwa sasa serikali yake haina matumaini ya kuwapa ajira wale wasio na ajira bali wanachotakiwa ni kutegemea zaidi sekta binafsi. “Matumaini ya kupata ajira serikalini kwa sasa hakuna, bali kimbilieni katika sekta binafsi,” alisema Kikwete.

Soma zaidi NIPASHE

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...