Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza rasmi kupokea maombi
ya wale wote wanaotaka kuomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016.Ambao wanaruhusiwa kuomba ni wale wote wataosomea;
1.DIPLOMA IN PRIMARY TEACHERS
2.DIPLOMA IN SPECIAL PROGRAMME
SCIENCE&MATHEMATICS.
3.UNDERGRADUATE DEGREE
4.MASTER DEGREE
5.POST GRADUATE-kwa wale tu watakao dahiliwa chuo kikuu
cha NELSON MANDELA.
Watajwa hapo juu watalipiwa gharama zao za masomo pamoja na chakula wawapo vyuoni.
Pamoja na hayo bodi ya mikopo wameanisha makundi ambayo yanahitaji kupewa mkopo,makundi hayo ni;
• A poor orphan (who has lost both parents) -yatima
• A poor applicant with disability or applicant whoseparents have
disability. -mlemavu
• A poor applicant who has lost one parent.-aliefiwa na mzazi 1
• An applicant from poor family.-familia maskini
Pia Bodi ya mikopo imesema kwamba mkopo wanautoa umegawnyika katika maeneo makuu yafuatayo;
i. Meals and Accommodation charges -chakula na maladhi
ii. Books and Stationery expenses -vitabu na stationary
iii. Special Faculty Requirement expenses -mahitaji muhimu ya
kozi yako mfano;lab coat.
iv. Field Practical Training expenses -fedha ya field
v. Research expenses -utafiti
vi. Tuition Fees-ada ya chuo.
ZIFUATAZO NI SIFA NAZOTAKIWA KUWA NAZO ILI UOMBE MKOPO
1.Lazima
uwe mtanzania.
2.lazima uombe kupitia ONLINE system OLAS
3.Lazima uwe
umechaguliwa na chuo chochote kikuu nchini Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
-
UTANGULIZI. Uyoga ni aina ya nyuzi kuvu (fungus) yenye kutofautiana na mimea mingine kwa kukosa chembe chembe zinazowezesha mimea ku...
-
Kutoka Jiji la Chicago Nchini Marekani Kijana wa Kiume Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye umri wa miaka 20 amechuk...
No comments:
Post a Comment