Ni miaka ishirini na moja (21) sasa tangu ututoke Baba yetu mpendwa Hussein Habibu Nyenzi.Unakumbukwa sana na Mkeo Mrs. Nyenzi (Mama Leyla), watoto wako Leyla Nyenzi, Habiba Nyenzi na Salma Nyenzi, Pia na Ndugu, jamaa na marafiki zako wote , Tulikupenda sana ila Mwenyezi-Mungu
amekupenda zaidi.
Allah akulaze daima mahala pema peponi. Amin.

No comments:
Post a Comment