![]() |
V-MONEY NA OMMY DIMPOZ |
“Hadi Jokate anakwenda geto kwa Ommy jambo ambalo limesababisha yeye na V-Money kutoelewana kwani awali ndiye alikuwa kiburudisho cha Ommy,” kilidai chanzo hicho. Baada ya kuzinyaka habari hizi, mwanahabari wetu alimtafuta mhusika mkuu Ommy Dimpoz ambaye alikuwa na haya ya kusema:
![]() |
MBONGO FLEVA OMMY NA KIDOTI JOKATE |
Stori: Gladness Mallya
No comments:
Post a Comment