BABA AMESEMA (ROBERT MUGABE): WAAFRIKA SASA TUACHE UTEGEMEZI JAMANI:
![]() |
RAISI ROBERT MUGABE |
Mwenyekiti mpya wa jumuiya ya SADC, raisi Robert Mugabe ameziasa nchi za
kusini mwa Africa kuachana tabia ya utegemezi wa misaada, (hasa kutoka
nchi za magharibi) ambayo imekuwa kama kaugonjwa barani Africa, na
badala yake kutumia vizuri rasilimali zao kama vile madini na ardhi ili
kukuza uchumi. SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment