Naomba wabongo tuchangamkie fursa za scholarships za kusoma nje kwa level ya bachelor, mastersa na PhD. Tumekuwa tumelala sana huku tukipigwa bao na nchi nyingi za kiafrika kama nigeria na ghana kwenye suala zima la kuchangamkia scholarships.
Watu wamekuwa wakilalamika kila siku oooh michakato ni migumu, mara wanachaguana watoto wa wakubwa lakini ukweli ni kwamba huwezi kupata hizi scholarships bila kulala. HAIWEZEKANI, ukalala nyumbani kwako asubuhi mtu akagonga hodi amekuletea scholarship. You have to apply, Pambana Mtanzania!!!!!!

Mimi ninayeandika hapa saiv nipo South Korea nafanya masters na ni ya full scholarship silipi hata senti tano, na niliapply nikabahatika. Kuna websites nyingi ambazo zina hiz scholarship lakini moja wapo ambayo ilinitoa mm ni African Scholarships: International Scholarships for Developing Countries . Humo utakuta scholarships za mkuwaga mpk mwenyewe utachanganyikiwa.Nawasilisha.

Apply sasa, Mtanzania Pambana!!!!! apply hapa