Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’.
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ambaye hivi karibuni
ndoa yake iliripotiwa kuwa katika sintofahamu na kuvunjika, anadaiwa
kuhamia katika hoteli moja yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Oysterbay
jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo chetu, Jide amekuwa akionekana akiingia na kutoka kwenye hoteli hiyo huku nyumba yake iliyopo Kimara-Temboni, Dar ikiwa haina mkazi wa kudumu. READ MORE>>>
No comments:
Post a Comment