![]() |
MAULIDI KITENGE |
Katika barua yake Kitenge anasema sababu kuu ni kupanda kwa gharama za maisha hivyo analazimika kutafuta njia mbadala ya kujiongezea kipato. (Soma barua yake hapo chini).
Kitenge ametaangaza kuacha kazi leo August 18, 2014 wakati Katanga ni tangu tarehe 15 mwezi huu pia.
"SPOOOOTIIIIII LEEEEEEEEEOOOO. . . . . Tanta lalallalaaa"
Hii sauti hatuisikii tena.
Mwana-Yanga, nimeandika hii habari makusudi kwa vile Kitenge ni MwanaJangwani mwenzetu tena hadi mamaa yake mzazi.
"""""WEWE MAULIDI WEWE MBONA AMEONDOKA GHAFLA HIVYO, NA HATA SABABU SIJAISOMA VIZURI, KUNA TATIZO GANI RADIO ONE??!!
![]() |
Uthibitisho |
No comments:
Post a Comment