welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Tuesday, 19 August 2014



UJUMBE WA MANGE KWA MDOGO WAKE WA HIARI WEMA SEPETU

MANGE NA WEMA KATIKA POZI
Mange kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya Diamond kufunguka kuwa Wema ni mpenda starehe na mashoga wapenda anasa badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo.
Mange amesema kuwa anakubaliana na alichokisema Diamond. Mange ambaye yupo karibu na Wema ameandika .

"Mnajua siku zote mimi huwa nakuwa upande wa Wema kwenye issue zake na DIAMOND, Ila leo kwa mara ya kwanza nipo upande wa Shemeji.
Wengi wanalaumu kwanini Diamond aweke hiki kitu hadharani ni kama anamdhalilisha Wema. Jamani nimesoma alichoandika huyu kaka what I can say is he really and truely loves Wema ila Wema mwenyewe anaharibu. Yani you can see kabisa he wants the best for his woman ila woman mwenyewe doesn't want the best for herself. Alichosema Diamond ni kwamba yeye kama mwanaume anaweza kumsuport mwanamke wake financially ila kama mwanamke mwenyewe hajisukumi yeye afanyeje sasa?.....

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...