Mtu
moja (Pichani) katika kijiji cha Iyumbu wilaya ya Ikungi mkoani Singida
aliyejifanya Daktari amesababisha kifo cha mgonjwa kwa kumwekea chupa
TISA za maji (Drip) zikiwa zimechanganywa na dawa pamoja na vidonge Sita
ambavyo havijafahamika.
Zaidi soma => http://bit.ly/1utEnZB
Zaidi soma => http://bit.ly/1utEnZB
Prosper Simson , Mtuhumiwa
hiyo yote maisha magumu na roho mbaya tu......apalekwe mbele ya sheria tu huyo...
ReplyDelete