#EBOLA NI UGNJWA HATARI UNAOENEA KWA KASI; DALILI ZAKE NI HOMA KALI,
MAUMIVU YA KICHWA, NA KUTOKWA DAMU SEHEMU ZILIZOWAZI.EPUKA KUGUSANA NA MTU MWENYE DALILI ZA EBOLA, WANYAMA KAMA NYANI AU MIZOGA.
OSHA MIKONO NA SABUNI NA MAJI SAFI NA SALAM KUZUIA MAAMBUKIZI.
UKIHISI DALILI WAHI KITUO CHA AFYA MAPEMA SANA.
lakini nasikia Tanzania bado haujaingia ila cha muhimu nikuchukua tahadhari meen
ReplyDelete