welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Friday, 15 August 2014

TAHADHARI TAHADHARI TAHADHARI

#EBOLA NI UGNJWA HATARI UNAOENEA KWA KASI;  DALILI ZAKE NI HOMA KALI,

MAUMIVU YA KICHWA, NA KUTOKWA DAMU SEHEMU ZILIZOWAZI.

EPUKA KUGUSANA NA MTU MWENYE DALILI ZA EBOLA, WANYAMA KAMA NYANI AU MIZOGA.

OSHA MIKONO NA SABUNI NA MAJI SAFI NA SALAM KUZUIA MAAMBUKIZI.

UKIHISI DALILI WAHI KITUO CHA AFYA MAPEMA SANA.

 


1 comment:

  1. lakini nasikia Tanzania bado haujaingia ila cha muhimu nikuchukua tahadhari meen

    ReplyDelete

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...