welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Saturday, 16 August 2014

#NI UPENDO TU#

                        mwenzenu nampendaga huyu mdada basi tu....hasa nliposikia interview yake ya kwanza alikuwa anahojiwa na Sauda Mwilima kitambo katika interview hiyo nilisikia akisema anaendesha treni nilkuwa namsikia jamani nlizidi kumpenda na kuvutiwa nae nliona ni mwanamke mpiganaji maana sikuwahi kuona wala kusikia kuna mwanamke anaendesha treni....nlianza kumfatilia kila hatua aimbe, acheze, aanzishe biashara mi nampenda tu.....lingine lililonishangaza nikumuomba urafiki na kunikubalia kuchati nae....alizidi kunishangaza maana ni wasanii wangapi hata uwasifie vipi hawakujibu ila huyu dada sijui ana nini maana anachati na friends zake kila muda....we nuru wewe nisikusifie sana ukadhani NIMEROGWA...NI UPENDO TU

#nuru the light mi nakupenda kwani for some reasons i can say your my insparation

i don't care what people will say but this is TRUE STORY.... najidedicatia wimbo wa #subiri usilale#
                                                      #NURU THE LIGHT#
Posted by a blogger

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...