Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria
Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya
Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa
wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano
hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.
Shila ameungana na warembo wengine
Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili na Queenlatifa Hashim
aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja wamepata tiketi ya
kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika mashindano ya taifa ya Miss
Tanzania 2014 yanayotaraji kufanyika mapema mwezi Oktoba.
No comments:
Post a Comment