welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Tuesday, 26 August 2014

SIMEONE AFUNGIWA MECHI NANE

Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amefungiwa mechi nane kwa utovu wa nidhamu alioonesha kwenye mechi ya Spanish Super Cup. Simeone, 44, alimgusa mmoja wa waamuzi kisogoni katika mechi iliyokuwa imejaa hamasa kati ya Atletico Madrid na Real Madrid, ambapo Atletico walishinda 2-1. Shirikisho la soka la Spain (RFEF) limethibitisha kuwa adhabu hiyo ni ya makosa manne tofauti. Kocha msaidizi German Burgos atasimamia mechi za Attletico wakati wa adhabu hii.

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...