welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Sunday, 21 September 2014

Man Walter Aeleza Walipofikia Katika Kufanya Kazi na 20 Percent



Mtayarishaji wa muziki kutoka Combination Sound, Man Walter aliwahi kutangaza kumaliza tofauti kati yake na 20 Percent aliyewahi kufanya vizuri kupitia mikono yake na kwa pamoja wakaeleza mpango wa kufanya mradi mpya. Man Water ameongea na tovuti ya Times Fm na kueleza walipofikia baada ya ukimya wa muda mrefu tangu walipotangaza hatua hiyo. “Off Course kwa sasa siwezi kuongelea sana kwa sababu wazo lilienda vizuri lakini nadhani kuna vitu viwili vitatu vilikwama, sijapata tena mawasiliano mazuri na 20. Labda tuvute subira tu, kwa sababu kama watu wana lengo la kufanya jema litakuwa tu…nadhani tuvute subira kwake.” Man Walter ameiambia tovuti ya Times Fm

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...