welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Sunday, 21 September 2014

Lowassa: Utajiri Wangu Usitumike Kwa Lengo La Kuchafuana Katika Siasa, Ndugu Zangu Aliyepata


Mkubwa wa kazi ambaye amewahi kushika nafasi kubwa za uongozi katika taifa hili na mwenye kasi ya ajabu katika medani za siasa, uchumi katika chama chake, amekuwa akiwaonya wapinzani wake kutotumia kete ya mali zake kama njia ya kumchafua ki siasa. Amesema hapendezwi na hilo, na jambo hilo halina tija kwa siasa zetu za Tanzania, kuna mijadala mingi ya ki taifa ya kujadili kwa maendeleo yetu na siyo mali zake kwani anazo mali za kawaida kuliko inavyozushwa. Kakazia kwamba wapinzani wake wasijikite katika mali zake kwani "ALIYEPATA AMEPATA". Haya wadau hizi ndiyo siasa za bongo watu wamewekeza kwenye kuchafuana tu. Chama cha CCM kazi ipo.

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...