Friday, 19 September 2014
MCHEZAJI TENISI LI NA ASTAAFU
MCHEZAJI
wa kwanza wa tenisi nchini China kushinda mashindano ya Grand Slam, Li
Na, amestaafu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu.Li, mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni staa namba 6 kwa mchezo huo duniani, alisema kuwa anaondoka katika mashindano ya tenisi kwa sababu ya majeraha ya muda mrefu, hasa kwenye magoti yake.Alishinda Grand Slams mara mbili - Frenc Open mwaka 2011 na Australian Open mwaka huu.Chama cha Tenisi nchini China kimepongeza juhudi zake za kuimarisha mchezo huo nchini mwake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
-
UTANGULIZI. Uyoga ni aina ya nyuzi kuvu (fungus) yenye kutofautiana na mimea mingine kwa kukosa chembe chembe zinazowezesha mimea ku...
-
Kutoka Jiji la Chicago Nchini Marekani Kijana wa Kiume Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye umri wa miaka 20 amechuk...
No comments:
Post a Comment