MATOKEO ya kura za maoni nchini Scotland yametoka, kura 1,914, 187 sawa na 55% wamepinga kujienga na Uingereza huku kura 1,539,920 sawa na 45% wakitaka kujitenga.
Kwa matokeo hayo, Scotland itaendelea kuwa sehemu ya Uingereza na Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni.
No comments:
Post a Comment