welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Thursday, 18 September 2014

Picha: Balotelli Alipandisha Meli Gari Lake lenye Thamani ya Pound 240,000

Mshambuliaji kutoka nchini Italian Super Mario Balotelli, ameshindwa kujizuia na kulazimika kuagiza gari lake aina ya Ferrari F12 Berlinetta kutoka nchini Italia.
Balotelli, amelazimika kufanya hivyo kutokana na mazoea yaliyojengeka ya kutumia gari hilo mara kwa mara katika safari zake, tangu alipolinunua akiwa na klabu ya AC Milan kwa gharama ya Paund 240,000.
Katika hali ya kushangaza hii leo mshambuliaji huyo, alitinga kwenye uwanja wa mazoezi wa Liverpool akiwa anaendesha gari hilo na kuwafanya waandishi wa habari kushangaa kutokana na kutoamini alichokifanya.


No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...