Habari ya kutengenezwa iliyowekwa kwenye mtandao inaeleza
kuwa Kanye West ameifunga timu ya mpira wa kikapu ya watoto walemavu wa
miguu kwa points 106.
Habari hiyo isiyo ya kweli iliyosambazwa na baadhi ya waandishi ambao
hawakutaka kuthibitisha inaeleza kuwa timu ya watoto hao waliokuwa
wamefungwa kwenye kiti maalum ‘Wheelchair’ ilicheza na Kanye West katika
shughuli ya kijamii iliyolenga kupunguza mtafaruku uliopo kati ya
rapper huyo na watu wenye ulemavu.
Habari hiyo idai kuwa mtafaruku kati ya Kanye na walemavu umetokana
na hatua ya Kanye West kugoma kuendelea kuimba kwenye tamasha lake hadi
mtu aliyekuwa kwenye ‘wheelchair’ aamke wakati kiuhalisia alikuwa
mlemavu/mgonjwa wa miguu.
Taarifa hiyo ya uongo iliyoanzia kwenye mtandao maarufu wa kutengeneza habari wa Daily Currant ilinasomeka hivi:
A charity basketball game didn't go exactly as planned yesterday when
Kanye West scored 106 points against a team of handicapped children in
wheelchairs.
"The game was a PR move intended to smooth over the controversy that
erupted this week between Kanye and the disabled community. At one of
his concerts recently West repeatedly asked wheelchaired fans to stand,
and refused to apologize for his mistake afterwards.
"The Basketball Wheelchair Charity for Cancer event pitted disabled
middle school children against Kanye and his entourage. Kanye's team
seemed hesitant to play as hard since they were not also in wheelchairs
as originally planned."
The satirical article also carried a made-up quote from the
organisers, which read: "Both teams were supposed to be playing in
wheelchairs but Kanye's camp said Mr. West would be playing the 'normal'
way."
The About section of the website reads: "The Daily Currant is an
English language online satirical newspaper that covers global politics,
business, technology, entertainment, science, health and media. It is
accessible from over 190 countries worldwide - now including South
Sudan.
"Our mission is to ridicule the timid ignorance which obstructs our progress, and promote intelligence - which presses forward."
Hata hivyo, sio waandishi peke yao waliopelekwa chaka, baadhi ya
watumiaji wa mitandao ya kijamii pia waliishare hii habari kwa kuiamini.
No comments:
Post a Comment