Beyonce na Jay Z wameendelea kuachia vipande vya filamu
zinazowaonesha wakiwa katika harakati mbalimbali zinazohusisha matumizi
ya silaha. Hivi karibuni wameachia filamu fupi ya ‘Bang Bang’ ya aina
hiyo.
‘Bang Bang’ iliyoongozwa na Dikayla Rimmasch ikiwa na taswira ya
Bonnie & Clyde inawaonesha wakifanya matukio ambayo yako kinyume na
sheria. Baadhi ya vipande vilioneshwa kwenye wakati wakiwa jukwaani
kwenye ‘On The Run Tour’.
Pia ilikuwa ikioneshwa kama sehemu ya trailer ya filamu
itakayooneshwa na HBO September 20 na katika maonesho huko New York,
Clic Gallery, September 19.
Hata hivyo, mtandao wa fishwrapper umeikosoa
hatua ya Beyonce na Jay Z na kudai kuwa wanafanya upuuzi na kuhamasisha
matumizi mabaya ya silaha na uhalifu katika jamii.
Umewataka wanamuziki hao kujikita katika kitu ambacho jamii inahitaji
kama muziki wao na kwamba kwa kuwa wanaona kila wanachotoa kinapokelewa
vizuri na mashabiki wanaowapenda sana, wasichukulie hiyo kuwa tiketi ya
kuilisha jamii vitu visivyo na maana.
Hii ni sehemu ya maelezo ya mtandao huo:
“Why do Beyonce and Jay Z have to make short films about guns and
crime and other such ridiculousness? Does anybody honestly care? If
they went through the effort of making this film, why not just do
something people care about and make more music? Are there actually
people that do care about this? Do they think that highly of themselves
that they believe they can do anything at all and people will worship
it? What's next, a short film of Beyonce brushing her teeth? Seriously
though, why not just make some music instead of waving around guns and
promoting crime in an "artsy," "cool" way? WHY?”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
-
UTANGULIZI. Uyoga ni aina ya nyuzi kuvu (fungus) yenye kutofautiana na mimea mingine kwa kukosa chembe chembe zinazowezesha mimea ku...
-
Kutoka Jiji la Chicago Nchini Marekani Kijana wa Kiume Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye umri wa miaka 20 amechuk...
No comments:
Post a Comment