VIFO
vya watu 11 waliofariki kwa ajali ya gari hapo jana iliyohusisha Costa
ya abiria na lori la mizigo katika eneo la Mkanyageni wilayani Muheza
Mkoani Tanga vimeongezeka na kufikia kumi na tatu.
Ajali hiyo ilihusisha Costa yenye namba za usajili T 410 BJD iliyokuwa ikitokea jijini Tanga ikielekea wilayani Lushoto na lori namba T645 ABJ lililokuwa likitokea moshi mkoani Kilimanjaro.

No comments:
Post a Comment