![]() |
HAPPINESS WATIMANYWA |
Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 2013 ambaye pia ameshiriki
mashindano ya Miss World mwaka 2014, Happiness Watimanywa ameandika
ujumbe kupitia Facebook na Twitter.
Katika ujumbe huo ameonyesha kufurahi kuwa mwakilishi wa Tanzania
katika Mashindano hayo makubwa ya Dunia na pia amewashukuru Watanzania
kwa kumpigia kura na kumpa support kubwa.
Happiness kaandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Facebook; “It has been a pleasure being here in #London representing #Tanzania for this year’s#MissWorld‘s #MW2014 pageant. Thank you #Tanzania for supporting me. Please keep voting for Tanzania. #Oxforddebate #charitygala #topmodel #MissWorld2014 #MW2014#lessonlearnt #wellappreciated — in London, 

No comments:
Post a Comment