welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Saturday, 6 December 2014

OUT AND ABOUT OF TANZANIAN CELEBRITY

HAPPY BIRTHDAY WOLPER, LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA CELEBRITY JACKLINE- SIKU YAKE HII AMEAMUA KWENDA KWA WATOTO YATIMA NA KUJITOLEA ALICHO NACHO...KUTOA NI MOYO NA SI UTAJIRI
PICHANI OMMY DIMPLES: AKIWA KATIKA TAMASHA LA NYAMA CHOMA ANAWASIHI WAPENZI WAKE WA MUZIKI MWENDE MKAJIONEE NA MSISUBIRI KUSIMULIWA
kama unavyoina hapo juu, Nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi cha kitenge chenye maua maua   ambacho  kimemuacha wazi sehemu yote na miguu na paja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt  cha rangi nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wasi sehemu ja juu kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya kiuno upande wa upavuni kuoneekana…


No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...