wimbo wa Gangnam ndio umevunja rekodi ya Internet.
Wimbo huo Umetazamwa mara bilioni mbili. Nambari kubwa ya watu kuwahi kutazama wimbo au chochote kwenye Youtube. Wamiliki
wa You Tube wanasema hawajawahi kutarajia kitu chochote kutazamwa hadi
hapo. Wamelazimika kuongeza uwezo wa mtandao huo kuhifadhi data hadi 62
kutoka kwa 34.
No comments:
Post a Comment