welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Tuesday, 9 December 2014

WIZKID AYO :AUNGANA NA WATANZANIA KUITAKIA HERI SIKUKUU YA UHURU

.
WIZ KID

Ikiwa leo ni Desemba 9 watanzania wameungana  kwa pamoja kusheherekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania.Sasa good news ninayotakia kukupatia ni kwamba msanii kutokea Nigeria mwenye hit single ya Show You The Money Wizkid  kupitia  twitter aliandika ujumbe wa kuitakia Tanzania sikukuu  ya Uhuru ‘Happy independence day Tanzania! Blessings!
Hizi ni baadhi ya tweet ikiwemo ya Wiz Kid na mastaa wa Bongo pamoja na wanasiasa kuhusiana na Uhuru Day

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...