Hii
ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha
ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Msee na Jux ambao
wameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi.
Imetoka na imeongozwa na Zed Benson,karibu uitazame.
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
No comments:
Post a Comment