welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Thursday, 30 April 2015

Freddie Roach: Floyd Mayweather huenda amkimbie Manny Pacquiao

floo
mkanda ambao mshindi atakabidhiwa baada ya mchezo huo.


Floyd Mayweather ana jukumu la kuuthibitishia ulimwengu kwamba yeye bado ni mbabe ambaye hataki kupoteza pambano lolote kwenye ulingo.. Manny Pacquiao nae ana jukumu la kukaza msuli ili ahakikishe anatengua rekodi ya Mayweather.. watu wanahesabu saa kadhaa tu historia iandikwe pale MGM Grand Garden Arena, Las Vegas Marekani.
Siku moja tu kabla ya pambano hilo kufanyika, kocha wa Pacquiao, Freddie Roach ametamka kuwa huenda Maywether akagoma kupanda ulingoni siku ya pambano hilo kwa kuwa anahisi Floyd hakutaka pambano hilo liwepo ila wamamlazimishaKwa pamoja wamekutana na kila mtu ametoa ya moyoni, lakini kila mmoja kajigamba kushinda pambano hilo.. tusubiri tu hiyo kesho usiku kutakuwa na majibu gani ambayo dunia itayapata kutoka kwenye pambano.



No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...