![]() |
Mshauri wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bw, Dick Manong akiongea na wanafunzi (hawapo pichani) |
![]() |
Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti |



pic 2; Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya
selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa
baadhi ya uongozi wa wanafunzi na mshauri wa wanafunzi chuoni hapo mara
baada ya Airtel kuzindua huduma yao ya intaneti Wi-Fi yenye kasi zaidi
maalum kwa wanafunzi wa chuo hicho jana.
pic 1; Mshauri wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bw, Dick Manong
akiongea na wanafunzi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma
mpya ya Airtel UNI Wi-Fi jana chuoni hapo ambapo itawasaidia wanafunzi
kupata intaneti kwa gaharama nafuu ya yenye kasi zaidi.
Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI
• Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM
Dodoma, Aprili 25, 2015, kufahamu ukweli kwamba Dodoma ni mji mteule na
wenye kuendelea kwa kasi hapa nchini na mji uliobahatika kuwa miongoni mwa mji
wenye chuo kikubwa hapa Tanzania, Airtel imeendelea na utamaduni wake wa kutoa
huduma iliyo bora kwa Watanzania.
Leo, Airtel Tanzania imezindua huduma yenye ufanisi
na gharama nafuu UNI WI-FI ambayo itawezesha wanafunzi katika Chuo Kikuu cha
Dodoma kupata huduma iliyo bora na nafuu, ambayo itaweza kukidhi mahitaji
kwa wanafunzi wapatao zaidi ya 60,000 na wanachama wa taaluma mbalimbali
yenye kasi kubwa na inayopatikana kwa bei nafuu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma katika Chuo Kikuu
cha Dodoma (UDOM), xxx Meneja Mauzo, xxxx alisema: "Leo hii tunazindua
Airtel UNI WI- FI huduma ya internet inayopatikana kwa bei nafuu kwa ajili ya
wanafunzi na pia tumeongeza mnara wa pili wa simu ambao
tunaamini utaimarisha mtandao wetu hapa UDOM na kuinua uchumi wa nchi
yetu na kwa watu wanaoishi karibu na maeneo haya "
Tunafuraha kubwa kwa Airtel kuweza kuboresha Maisha ya
wanafunzi hapa chuoni kwani spidi hii itawawezesha wanafunzi kuweza
kufanya utafiti wao, kupata habari mbalimbali za taaluma au kijamii kupitia
mnara huu wa Airtel "
Wanafunzi
60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI
• Pia Airtel
yazinduzi mnara wa pili UDOM
Dodoma, Aprili
27, 2015, kutokana na ukweli kwamba Dodoma ni mji
mteule na wenye kuendelea kwa kasi hapa nchini na pia ni mji uliobahatika kuwa
miongoni mwa mji wenye chuo kikubwa hapa Tanzania, Airtel Tanzania mkoani huko imezindua
huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa
wananfunzi kwa gharama nafuu
UNI WI-FI itawezesha
wanafunzi zaidi ya 60,000 katika Chuo Kikuu cha Dodoma kupata huduma ya
kimtandao ya Intaneti iliyo bora na nafuu pamoja na kukidhi mahitaji ya wote waishio chuoni hapo.
Akizungumza
wakati wa uzinduzi wa huduma katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mkurugenzi wa
huduma kwa wateja Airtel Bi , Adriana Lyamba alisema: "Leo hii tunazindua
Airtel UNI WI- FI huduma ya internet inayopatikana kwa bei nafuu kwa ajili ya
wanafunzi na pia tumeongeza mnara wa pili wa simu ambao
tunaamini utaimarisha mtandao wetu hapa UDOM na kuinua uchumi wa nchi
yetu na kwa watu wanaoishi karibu na maeneo haya "
Tunafuraha
kubwa kwa Airtel kuweza kuboresha Maisha ya wanafunzi hapa chuoni kwani
spidi hii itawawezesha wanafunzi kuweza kufanya utafiti wao, kupata habari
mbalimbali za taaluma au kijamii kupitia mtandao wetu wa Airtel
"
Meneja Masoko wa
Airtel UNI WI-FI, Bi, Aneth Muga, alisema "Airtel wifi itakuwa inapatikana
kwa mwanafunzi yoyote hapa UDOM, kwa kutumia simu zao za mkononi, laptop,
kamera na kwa mwanafunzi yoyote aliyepo UDOM bila kujali mtandao wa simu
wanaoutumia.
Wanaweza
kununua UNI Wi-FI vocha ambayo inapatikana masaa 24 , kwa kifurushi cha siku , wiki, mwezi na kifurushi cha usiku mzima.
Fikiria!
Unaweza kufurahia kifurushi cha 1 GB kwa shilingi 500 tu! Alisisitiza Bi, Muga
Kwa upande wake
mgeni rasmi ambae ni mshauri wawanafunzi chuoni hapo (UDOM) Bw, Dick Manongi alisema: ". Tunawashukuru sana Airtel
Tanzania kwa ajili ya uzinduzi wa huduma hii kubwa na ya bei nafuu hapa chuoni.
Nina hakika kwamba, huduma hii itaimarisha uwezo wa kujifunza na kuendelezea
wanafunzi urahisi wa kujipatia Habari mbalimbali zinazoendelea hapa
nchini na hata nje ya nchi ".
Ningependa
kuwaomba wanafunzi wote kutumia fursa hii kubwa ili kuweza kuongeza ujuzi wao
kitaaluma na katika Maisha yao ya baadae.
Uzinduzi wa
Airtel Uni Wi- Fi katika chuo kikuu cha Dodoma umekuja mara baada ya Airtel
Tanzania kuzindua huduma kama hiyo katika chuo kikuu cha Saint Augustine (SAUT)
jijini Mwanza na mipango mingine inaendelea kufikia vyoo vingine hapa nchini.
msaada wa blog ya sinta
No comments:
Post a Comment