mwanamuziki diamond chati inazidi kupanda na mwaka huu tunaweza kusema
kuwa mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyu ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua
au hata kutajwa tu kuziwania tuzo mbalimbali
hongera Diamond plutnum you can call him chibu dongate
Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com ! Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...
dogo anajitahid sana
ReplyDeleteumeona ehee anonymiuos hapo juu....dogo safi sana
ReplyDelete