welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Friday, 15 August 2014

Diamond achukua tuzo nyingine Burundi,


 mwanamuziki diamond chati inazidi kupanda na mwaka huu tunaweza kusema kuwa mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyu ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua au hata kutajwa tu kuziwania tuzo mbalimbali

Wimbo wa My Number One wa Diamond umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki katika tuzo za Burundi zinazojukana kama TTM Awards

       hongera Diamond plutnum you can call him chibu dongate

2 comments:

  1. dogo anajitahid sana

    ReplyDelete
  2. umeona ehee anonymiuos hapo juu....dogo safi sana

    ReplyDelete

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...