welcome

Your welcome to Leyla Nyenzi Blog, Dodoma-Tanzania, for the only latest Audio's,Video's,Photo's, Events and Advertisement.

Friday, 29 August 2014

DIVA WA CLOUDS AMPA ZA USO MH. ZITTO

DIVA



NA HUU NDO USHAURI KUTOKA KWA C.E.O SINTA:
Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina girlfriend?? baada ya Zitto kumkana Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama queen amtolea za uso na kutoa moja ya email aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva huendani na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya comedy,attention seeker but you know better ila haipendezi punguza ama muone Dr .....
namfananisha Diva na wale wanaume wa vijiweni ambao wakishagonga sehemu wanatangaza mtaa mzima,  kwani akipiga kimya atakufa? mmmh Zitto kazi unayo na ndani ya moyo wako sasa unajutaa kumjua Diva, ndio hivyo uliingia choo cha bibi mwibula halafu kimejaa...
 

No comments:

Post a Comment

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia mkito.com!

Kuwa wa kwanza kupata ladha kutoka kwa wakali wa huu muziki Afrika Kusini kupitia  mkito.com !  Bila shaka utakuwa umeusikia huu wimbo kw...