![]() |
Daren Wilson Afisa wa polisi aliyempiga risasi na kumuua kijana mweusi nchini Marekani amejiuzulu. |
Wakili wa Darren Wilson ambaye ni
afisa wa polisi aliyempiga risasi na kumuua kijana mweusi Michael Brown
kwenye eneo la st Louis nchini Marekani mwezi Agosti anasema kuwa polisi
huyo amejiuzulu.
Mapema wiki hii bwana Wilson aliondolewa mashtaka hatua iliyozua ghadhabu miongoni mwa waamerika weusi.
Afisa huyo amekuwa likizoni tangu mauji hayo yafanyike, mauaji ambayo yalisababisha majuma kadha ya maandamano.

No comments:
Post a Comment